Piga 0715 824677 au 0767 824677 na 0713 526346 au 0765 986363

clemence

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
594
212
Nasisitiza piga hizo namba hapo juu kwamahitaji ya kutengenezewa mageti, grill za milango na madirisha,vitanda vyachuma kwa matumizi ya nyumbani, hostel,guest house, pia viti vya chuma kwamatumizi ya nyumbani na hotel. vibanda vya biashara vinavyohamishika pamoja nabidhaa nyingine nyingi zihusuzo metal welding.
 
Hili ndo Tangazo la Biashara? Halafu tunakaa kuLAUMU KWAMBA serikali ina waachia wachina waje, Kwa mbinu za kibiashara tuko nyuma vibaya mno, tuko enzi za miaka ya 1960 huko Ulaya
 
Weka picha yanafananane wewe!
Au ni ya hivi?
th
au hivi?
th
 
Siku hizi kuna kozi nying sana za ujasiriamali ambazo zinasaidia kuongeza ujuzi wa biashara na zaidi kusaidia namna ya kutafuta masoko ya biashara zetu, cha kushangaza wajasirimali wengi hawataki kujiendeleza na mbinu mpya za biashara ili kuendana na wakati tulio nao sasa, matokeo yake ndiyo kama haya mtu anaibuka na tangazo lake la biashara lakini anashindwa hata kuweka details ya kile anachokusudia. First impression matter a lot in business, kwangu mimi hata hizo namba siwezi kupiga kwa sababu unaonyesha kabisa hauko siriazi, unaweza ukalipwa hela halafu ukaanza hadithi mara ohh umeme unasumbua, jenereta haiwaki, sijui matirio haipatikani...... and so much... mafundi wengi ndiyo zao hizi.
 
Hili ndo Tangazo la Biashara? Halafu tunakaa kuLAUMU KWAMBA serikali ina waachia wachina waje, Kwa mbinu za kibiashara tuko nyuma vibaya mno, tuko enzi za miaka ya 1960 huko Ulaya
Mkuu kaonesha uthubutu hivyo ni vyema akapewa mbinu za kutafuta wateja...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom