Pierre Buyoya gets life Sentence

Pierre Buyoya gets life Sentence

eRRy

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2009
Posts
1,126
Reaction score
208
The Supreme court in Burundi has Tuesday sentenced former President Pierre Buyoya in absentia and 18 others to life imprisonment for their role in the assassination of the country’s first democratically elected President Melchoir Ndadaye.

The 19 were found guilty of carrying out an attacking on the Head of State; an attack against the authority of the State and attempt to bring massacre and devastation to Burundi.

Former Prime Minister Antoine Nduwayo on the other hand was acquitted after court found no evidence that he participated in the crimes.

Buyoya.jpg

=====

Mahakama Kuu imemhukumu Rais wa zamani wa nchi hiyo, Pierre Buyoya kifungo cha maisha jela baada ya kukutwa na hatia ya kupanga mauaji ya Rais wa kwanza kuchaguliwa Kidemokrasia, Melchoir Ndadaye

Mbali na Buyoya, Mahakama pia imewahukumu watu wengine 18 waliohushishwa katika kesi hiyo ambapo kati yao watatu wamepewa adhabu ya kutumikia miaka 20 gerezani

Mauaji hayo ya mwaka 1993 yalifuatiwa na miaka kadhaa ya vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vilisababisha watu wapatao 300,000 kupoteza maisha

Ndadaye alimshinda Buyoya katika Uchaguzi wa mwaka 1993, yeye pamoja na baadhi ya Mawaziri wake waliuawa miezi michache baada ya kuapishwa
 
If Was A Really Perpetrator Against The Late Ndadaye,He Deserves The Ruling...
 
Halafu jamaa ni kiongozi wa waangalizi wa kimataifa hapa kwetu.

Hapa sijui kama tunauchaguzi
 
I read about this killing it was so sad. How can you butcher your fellow country man just because you're from different ethnicity and idealogy?

Every human life should be respected at all cost.
 
Wahutu na Watutsi ndivyo walivyo. Huyu wa kwetu hapa naye yuko hivyo hivyo. Wamezaliwa na damu ya mauaji.
I read about this killing it was so sad. How can you butcher your fellow country man just because you're from different ethnicity and idealogy.

Every human life should be respected at all cost.
 
View attachment 1606224

The Supreme court in Burundi has Tuesday sentenced former President Pierre Buyoya in absentia and 18 others to life imprisonment for their role in the assassination of the country’s first democratically elected President Melchoir Ndadaye.

The 19 were found guilty of carrying out an attacking on the Head of State; an attack against the authority of the State and attempt to bring massacre and devastation to Burundi.

Former Prime Minister Antoine Nduwayo on the other hand was acquitted after court found no evidence that he participated in the crimes.
Kuna Mhutu mwingine huku apelekwe The Hague asap.
 
The Supreme court in Burundi has Tuesday sentenced former President Pierre Buyoya in absentia and 18 others to life imprisonment for their role in the assassination of the country’s first democratically elected President Melchoir Ndadaye.

The 19 were found guilty of carrying out an attacking on the Head of State; an attack against the authority of the State and attempt to bring massacre and devastation to Burundi.

Former Prime Minister Antoine Nduwayo on the other hand was acquitted after court found no evidence that he participated in the crimes.

=====

Mahakama Kuu imemhukumu Rais wa zamani wa nchi hiyo, Pierre Buyoya kifungo cha maisha jela baada ya kukutwa na hatia ya kupanga mauaji ya Rais wa kwanza kuchaguliwa Kidemokrasia, Melchoir Ndadaye

Mbali na Buyoya, Mahakama pia imewahukumu watu wengine 18 waliohushishwa katika kesi hiyo ambapo kati yao watatu wamepewa adhabu ya kutumikia miaka 20 gerezani

Mauaji hayo ya mwaka 1993 yalifuatiwa na miaka kadhaa ya vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vilisababisha watu wapatao 300,000 kupoteza maisha

Ndadaye alimshinda Buyoya katika Uchaguzi wa mwaka 1993, yeye pamoja na baadhi ya Mawaziri wake waliuawa miezi michache baada ya kuapishwa
Mwamba amekata MOTO.
 
Back
Top Bottom