Piere Nkuruzinza ashiriki na wananchi katika ujenzi wa nyumba ya mkuu wa mkoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Piere Nkuruzinza ashiriki na wananchi katika ujenzi wa nyumba ya mkuu wa mkoa

Discussion in 'International Forum' started by Chigoto, Nov 28, 2011.

 1. C

  Chigoto Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 5
  Ndugu wadau!!! Jana katika taarifa ya Habari ya TBC waandishi wa Habari wa kitanzania Elisha Elia na mwezie Gasion Msigwa walilipoti tukio amabalo kwangu mie niliona ni la mfano wa kuigwa kwa Viongozi wetu wa ukanda wa Africa ikizingatiwa bado tupo nyuma sana kimaendeleo!!

  Rais wa Burundi
  kajiwekea utaratibu yeye na familia yake kila jumapili kutembelea mirandi mbalimbali ya Maendeleo nchini mwake na kushiriki na wananchi katika shughuli hizo mfano jana alikuwa akishiriki kwa kuchanganya zege na kubeba karai la zenge katika ujenzi wa nyumba ya ofisi ya mkuu wa mkoa. Sie kwetu waziri anakwenda kagua shamba akiwa kavaa suti kweli tutafika?

  Maoni na michango!
   
 2. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Enzi za mwalimu................ndo watu wetu walikuwa hivyo sio sasa
   
 3. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  JK hana mda huo, yuko busy anakagua ramani ya dunia anaangalia nchi gani hajatembelea

  [​IMG]
  Il Gambino.
   
Loading...