PID(pelvic inflammatory disease) na matatizo ya uzazi, fahamu sababu na tiba zake na dawa salama kwa matokeo mazuri

Sweetiecay

Sweetiecay

Member
Joined
Jan 21, 2019
Messages
95
Points
125
Sweetiecay

Sweetiecay

Member
Joined Jan 21, 2019
95 125
PID maambukizo kwenye via vya uzazi, maambukizi haya yanasababishwa na vimelea aina ya NEISSERIA, GONORHOEA, CHLAMYDIA, TRACHOMATIS ndivyo vinavyoongoza kusababisha PID kwa wanawake.
NJIA ZINAZOSABABISHA PID;
1.kutoa mimba(abortion)
2.matumizi ya njia za uzazi wa mpango kama vidonge, kondom, kitanzi nk.
3.kukaa na infection kama u.t.i na fangasi kwa muda mrefu

DALILI ZA PID
1.kutokwa uchafu mweupe kama maziwa mtindi sehemu za siri wakati mwingine inawezakuwa rangi ya kijani, kahawia brown hata njano.
2.maumivu chini ya kitovu , nyonga na kiuno
3.maumivu wakati wa tendo la ndoa
4.kukosa hamu ya tendo la ndoa.

MADHARA YA KUKAA NA PID KWA MUDA MREFU
1.kizazi kulegea
2.uvimbe kwenye mayai(ovarian cysts)
3.homon kushindwa kubalance (homonal imbalance)
4.kizazi kujaa maji maji mpaka kulowanisha nguo ya ndani
5.saratani ya shingo ya kizazi
6.mimba kuporomoka (miscarriage)
7.ugumba (infertility)

FOR BETTER LIFE
 
bbade

bbade

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2013
Messages
6,008
Points
2,000
bbade

bbade

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2013
6,008 2,000

TIBA......?
 
Sweetiecay

Sweetiecay

Member
Joined
Jan 21, 2019
Messages
95
Points
125
Sweetiecay

Sweetiecay

Member
Joined Jan 21, 2019
95 125
TIBA
kupata dawa yenye kutibu na kurudisha virutubisho vyote vilivyopotea na kisha kukinga mwili wako kutopata maambukizi hayo tena, dawa za kampuni ya neolife ni suluhisho, kwa maswali au kupata tiba wasiliana kwa namba 0759137319 au 0692408039 au nifate pm
img-20190201-wa0038-jpg.1053580
 
ipyax

ipyax

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
1,744
Points
2,000
ipyax

ipyax

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
1,744 2,000
Sister amefanyiwa operation leo baada ya kutumia Dawa za tiba mbadala kwa mwaka mzima bila mafanikio.Ukiwa na uvimbe ni kuwahi hospitali tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,283,568
Members 493,717
Posts 30,793,776
Top