Ooyooo hawa vigogo vya dunia wameshashiba hapo na wakitoka hapo wanakwenda ofisini kupanga mbinu za kuuza silaha zao na huchagua kabisa nchi za kuzigombanisha ili mauzo yao yawe mazuri na hata kama huna pesa lakini rasirimali si ipo mafuta gesi na hapo tena inakuwa nchi umeiweka bond au rehani hapo ni kuzikomba tu