englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Kwani familia yenu siku hizi sio moja tena?Umenikumbusha nyumbani enzi zetu, nyumba yetu ilikua inasifika kwakuwa na maua mazuri sana na ni kweli tulikua na maua mengi sana na eneo la nyumbani kwetu lilikua safi sana, tulikua na tunafagia uwanja asubuhi na jioni, asubuhi hunywi chai kabla ya kufagia eneo lako. Umenikumbusha mbaaaaaaaali sana wakati familia yetu ilipokuwa MOJA, duh, ngoja niishie hapa hapa
Wapi huko mbaaali ipo Mkoa gani?Umenikumbusha nyumbani enzi zetu, nyumba yetu ilikua inasifika kwakuwa na maua mazuri sana na ni kweli tulikua na maua mengi sana na eneo la nyumbani kwetu lilikua safi sana, tulikua na tunafagia uwanja asubuhi na jioni, asubuhi hunywi chai kabla ya kufagia eneo lako. Umenikumbusha mbaaaaaaaali sana wakati familia yetu ilipokuwa MOJA, duh, ngoja niishie hapa hapa