Picture: I adore you deeply

Acha majungu mtu wangu, nataka aniamini mimi ni wake na hakuna mwingine
 
Baada ya miezi sita utasikia, "I hate you, go can go crew yourself" ..
Haya mapenzi ya kuchoreana Haya...uongo mtupu, au ndo swagga za Valentina....
 
Hapana mkuu, nampenda na wala sitaki tugombane.
 
Baada ya miezi sita utasikia, "I hate you, go can go crew yourself" ..
Haya mapenzi ya kuchoreana Haya...uongo mtupu, au ndo swagga za Valentina....

Umeona usemi wako umetimia
 
Baada ya miezi sita utasikia, "I hate you, go can go crew yourself" ..
Haya mapenzi ya kuchoreana Haya...uongo mtupu, au ndo swagga za Valentina....

Shikamoo mtabiri
 
Baada ya miezi sita utasikia, "I hate you, go can go crew yourself" ..
Haya mapenzi ya kuchoreana Haya...uongo mtupu, au ndo swagga za Valentina....
Eli79 njoo huku uone yale uliyoyatabiri
na kila mtu aseme utabiri wa Eli79 umethibitika
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi bwana. Nilisemaga mie, there is a thin line between love and hate.
 
Hahahahaha.....mkuu nawe mfukunyuzi? Lol.. zinc what the heck brother!!!

Mkuu! Okay pengine ulijiandikia tu wala hukumaanisha. Sasa unataka kujisifu kwa yaliyonikuta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…