Pick your poison

Mamamamamamaae... Umejua kunichekesha msibani. Ngoja nikatoe lock wasijesema nimefurahi jamaa kadedi kwakuwa alikuwa ananidai..
Mstahiki ana machokozi.Na mimi nimemwambia apige konzi ncha ya mkuki.Noma kama noma!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yani ndo maana nakosa hamasa ya mtongozo. Nilitegemea saa hizi naniliu iwe imeloa....
Ha haaa inaloa kirahisi hivyo? Loh hapana. Be romantic basi hata kidogo
 
Ahsante
Umeweka kwa ufupi na umeeleweka kwa wenye akili.

Mungu ndiye kimbilio
 
Mstahiki ana machokozi.Na mimi nimemwambia apige konzi ncha ya mkuki.Noma kamq noma!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndio maana nikasema hii sasa ishakuwa mada ya chit-chat.

Ila sikubali ata kama hii thread mmeipora, huyu dada alienikera privately, wakati nawaachia hii mada hapa ntamfyonza na kumuwaza walau ajin’gate huko halipo nipate amani.

πŸ˜©πŸ˜©πŸ˜©πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹
 
Mstahiki,nini mbaya na weye?Watu wanaishi stendi za mabasi na wanalalia maboksi!Nini nyumba ya msajili wa NHC?
 
🀣🀣🀣 mchaga wa kishumundu wewe
Umeanza ukabila tena? Mi mmoroco niko kwenye kombe la Dunia

Nikubalie ombi langu basi na roho yangu ipate kupona
 
Mstahiki,nini mbaya na weye?Watu wanaishi stendi za mabasi na wanalalia maboksi!Nini nyumba ya msajili wa NHC?
Huyu mwanamke humjui mshenzi wa tabia.

Acha tu kwetu saa 10 ya usiku wacha nimuombe mabaya sasa hivi huyu mwendawazimu wakati kalala walau aote anakwambiza na Simba wanataka kumla, kataka kuvuka mto wenye mamba, japo jasho limtoke kidogo akiamka.

πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹
 
Mstahiki kumbe kinyerere unakijua vizuri hivi? Sasa kwanini uliamua kututesa na kiMalkia wakati unajua wengine tumesoma shule za kata na hujatulipia ada kwa Ras Simba?
 
Mstahiki,usimuombee mwenzako dua mbayambaya.Unweza kupelekwa mahakamani kwa kesi ya kuota au kuwaza ndoto mbaya dhidi ya jirani kama Godbless Lema.
 
Mstahiki kumbe kinyerere unakijua vizuri hivi? Sasa kwanini uliamua kututesa na kiMalkia wakati unajua wengine tumesoma shule za kata na hujatulipia ada kwa Ras Simba?
Ngoja niwaache nimerudi sio muda mrefu baada ya kusubiri basi la masaa

Hapa nalala na mfuyonza dada alienichefua, halafu hata amja nipa support kwenye kumlaani. Sijapenda kabisa apate usingizi wa amani.

πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ˜©
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…