Pick up ndogo hizi zinauzwa

Pick up ndogo hizi zinauzwa

mi_mdau

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
1,171
Reaction score
1,763
Ni pick-up zililetwa toka japan na hazijawahi kutumika nchini. Ni daihatsu hijet 1, na mitsubishi 1. maelewano yapo kwa serious buyers ila bei ni mil 7.5. Piga namba hizi kwa mawasiliano na maelewano 0766-140074/0714-634534.
Mitsubishi 1995, km 35919
Hijet(white) km 42712, 4WD mitsubishi.jpg hijet 2.jpg
 

Attachments

  • hijet 1.jpg
    hijet 1.jpg
    353.8 KB · Views: 54
  • suzuki.jpg
    suzuki.jpg
    348 KB · Views: 54
toa detail zote bai pamoja na detail nyingine hizo suzuki je zina 4wheel au ni 2 wheel weka detail zote mheshimiwa
 
toa detail zote bai pamoja na detail nyingine hizo suzuki je zina 4wheel au ni 2 wheel weka detail zote mheshimiwa

bei iko hapo, hizo ni gari 4 tofauti na zinafanana bei kwa sababu zinafanana
 
za mwaka gani auto au manual, 4wheel au 2 wheel? kilometer ngapi zimetembea ? nchini zimeingia mwaka gani
 
Hizi poa ata ikinasa sehemu, washkaji wa kijweni wanaibeba tu. haina haja ya 4wd
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom