Pichani Shule zetu - Usafi chooni inashindikana?

Pichani Shule zetu - Usafi chooni inashindikana?

Ee Bwana, umenivunja mbavu, hii inachekesha. Hata nyengo za kufyekea majani hazipo? Labda watasema shule haina zile tengo za kufyekea majani.

Wengi bado tungali na utumwa kila kitu lazima kifanikishwe toka ulaya.

Ukifikiria kwa upana sana, utaona kuwa kuna mambo mengi tungeweza kufanya bila kutegemea misaada ya nje. Mfano ni barabara za vijijini. Nguvu kazi tu ya kutumia majembe na sululu zingeweza kuchonga barabara kidogokidogo, bila kungojea ufadhili. Lakini viongozi wetu wanashindwa kumobilize watu wao, badala yake wanakwea mapipa kwenda kutafuta hela za wahisani. Pesa zenyewe zinaliwa kwa kiasi kikubwa.
 
Back
Top Bottom