Sio Kila mchaga ni Chadema,
Huo ni usemi tu kwa sababu kila mchaga ndani ya Chadema anajiona yeye ni mwenyekiti wa taifa,
Au hujui kuwa CCM ina wabunge kutoka huko na mawaziri pia?
Kama ningekuwa na nafasi ningekuja huko pia

wakuu naomba ufafanuzi wa matumizi ya haya maneno kama yanafanana......
Kuenguliwa vs kufukuzwa
We Jamaa ubongo wako umefanyaje? Mbona huwezi kufikiri vyema? Juzi tu wakati wa mikakati ya maandamano ya kumtoa Kawambwa madarakani, kuna mzee wa CCM alisema kuwa kwanini CHADEMA haianzii kufanya maandamano Moshi? Kanakwamba CHADEMA ni chama cha wachaga na Moshi hakuna watu wenye itikadi nyingine, leo hii wewe unaibuka na story nyingine tena. Huijui CCM wewe, huwezi kuitetea mbele ya watu ukaeleweka.Sio Kila mchaga ni Chadema,
Huo ni usemi tu kwa sababu kila mchaga ndani ya Chadema anajiona yeye ni mwenyekiti wa taifa,
Au hujui kuwa CCM ina wabunge kutoka huko na mawaziri pia?
Kama ningekuwa na nafasi ningekuja huko pia
Sio Kila mchaga ni Chadema,
Huo ni usemi tu kwa sababu kila mchaga ndani ya Chadema anajiona yeye ni mwenyekiti wa taifa,
Au hujui kuwa CCM ina wabunge kutoka huko na mawaziri pia?
Kama ningekuwa na nafasi ningekuja huko pia
Sio Kila mchaga ni Chadema,
Huo ni usemi tu kwa sababu kila mchaga ndani ya Chadema anajiona yeye ni mwenyekiti wa taifa,
Au hujui kuwa CCM ina wabunge kutoka huko na mawaziri pia?
Kama ningekuwa na nafasi ningekuja huko pia
Sasa kwenye MKUTANO SHONZA na MWAMPEMBA watamsema VIBAYA MBOWE? Na NAPE ataongelea CHADEMA kuwa ni CHA WACHAGGA?
Itakuw a GOOD DEMOCRACY kama atawambia jinsi anavyowakandia kuna MSEMO MSEMA KWELI HAUAWI!!!
Una ushahidi na unayoyasema?
Wewe unaishi UK haujaona na kusikia MATUSI ya NAPE dhidi ya WACHAGGA kwa CHADEMA anaangalia jina la MWISHO TU Majibu yake kwa huyo MTU ni tofauti kabisa ana-MJUDGE kabisa kuwa tayari ni CHADEMA hata kama ni Masuala yasiyo husu VYAMA vya SIASA... that's reverse discrimination... yaani kwasababu ni Katibu Mwenezi wa CCM; Lakini hicho cheo sio cha MAISHA kwake... anajenga UADUI; baada ya Miaka Miwili Anakuja Rais Mwingine na atapenda KAMATI KUU ya MRENGO wake... Sasa Nape kabomoa Madaraja KILIMANJARO; ARUSHA na ni yeye Mwenyewe...
Siasa sio kubomoa BRIDGES; ni kujenga BRIDGES wakati ukianguka kuna sehemu utarushiwa kamba kukusitiri...
Don't burn all bridges... Hawezi kukimbilia nje ya NCHI - Jinsi Serikali ya Awamu hii ilivyo undecided na kuruhusu Matabaka sidhani serikali za Mataifa ya NJE yana IMANI na SERIKALI TAWALA ya CHAMA HIKI...
Una ushahidi na unayoyasema?Siyo kila mchagga ni chadema lakini chadema ni chama cha kichagga?Uje kufanya nini?Hatutaki wanafiki na watu wenye "two faces".
Wachagga hao hao mnaowaponda humu kila kukicha ndiyo hao hao unaowapa credibility kuwa wamechagua wabunge wa ccm,na kudai eti ungekuwa na muda ungekuja,uje utuambie nini?
Sio Kila mchaga ni Chadema,
Huo ni usemi tu kwa sababu kila mchaga ndani ya Chadema anajiona yeye ni mwenyekiti wa taifa,
Au hujui kuwa CCM ina wabunge kutoka huko na mawaziri pia?
Kama ningekuwa na nafasi ningekuja huko pia
Sio Kila mchaga ni Chadema,
Huo ni usemi tu kwa sababu kila mchaga ndani ya Chadema anajiona yeye ni mwenyekiti wa taifa,
Au hujui kuwa CCM ina wabunge kutoka huko na mawaziri pia?
Kama ningekuwa na nafasi ningekuja huko pia
Pia ngoja nikuambie kitu kimoja,Siyo kila mchagga ni chadema lakini chadema ni chama cha kichagga?Uje kufanya nini?Hatutaki wanafiki na watu wenye "two faces".
Wachagga hao hao mnaowaponda humu kila kukicha ndiyo hao hao unaowapa credibility kuwa wamechagua wabunge wa ccm,na kudai eti ungekuwa na muda ungekuja,uje utuambie nini?
Una ushahidi na unayoyasema?
Kuhusu ukabila ni ndani ya chadema lakini sio nje ya chadema.
Mimi binafsi my political idol wangu ni Augustine Lyatonga Mrema ambaye ni mchaga hata kiswahili tu kinamsuta. Ninapenda sana siasa alizotumia Mrema alipokuwa mambo ya ndani na kama leo ungeniuliza nani chaguo langu kuwa waziri wa mambo ya ndani nitamtaja Mrema. Pia wako akina Sokoine, Muhidin Kimario, Tumaineli kiwelu, Omary Mahita, Edward Lowassa nk. Hao wote niliowataja kama sio wachaga basi wanatoka kaskazini sasa sijui ukabila unakuja wapi hapo
na usije make na maugonjwa yako uliyonayo ungepiga watu mawe subiri upone ndo ujeSio Kila mchaga ni Chadema,Huo ni usemi tu kwa sababu kila mchaga ndani ya Chadema anajiona yeye ni mwenyekiti wa taifa, Au hujui kuwa CCM ina wabunge kutoka huko na mawaziri pia?Kama ningekuwa na nafasi ningekuja huko pia
Hao masalia watatembezwa watatembezw mpk watie akili. Sasa wamekuja pima maji?
kwani kama ungeweka hivi si wangeelewa usitujazie thread bana jibu moja una mquot kila mtu wamention tuUna ushahidi na unayoyasema?
Kuhusu ukabila ni ndani ya chadema lakini sio nje ya chadema.
Mimi binafsi my political idol wangu ni Augustine Lyatonga Mrema ambaye ni mchaga hata kiswahili tu kinamsuta. Ninapenda sana siasa alizotumia Mrema alipokuwa mambo ya ndani na kama leo ungeniuliza nani chaguo langu kuwa waziri wa mambo ya ndani nitamtaja Mrema. Pia wako akina Sokoine, Muhidin Kimario, Tumaineli kiwelu, Omary Mahita, Edward Lowassa nk. Hao wote niliowataja kama sio wachaga basi wanatoka kaskazini sasa sijui ukabila unakuja wapi hapo
Sio Kila mchaga ni Chadema,
Huo ni usemi tu kwa sababu kila mchaga ndani ya Chadema anajiona yeye ni mwenyekiti wa taifa,
Au hujui kuwa CCM ina wabunge kutoka huko na mawaziri pia?
Kama ningekuwa na nafasi ningekuja huko pia
Tanzania hakuna ukabila ila wajinga wachache walioko ndani ya chadema