Hii picha imenitatiza sana,ukiangalia ni kama kavaa yeye lakini nimeiona kwenye ukurasa wa facebook wa BBC kuna mwanamke yuko pembeni amevaa hilo wigi,ambaye kwenye hii picha anaonekana yuko nyuma ya Mugabe.Mimi nahitimisha kwamba ni wa nyuma yake ndo kavaa