Ni vyema kutunza kumbukumbu, lakini sio wanandoa wote au watu walioko kwenye uhusiano, wanapotengana wanaweza kuwa na ujasiri wa kutunza kumbukumbu hizo, itategemea zaidi na jinsi walivyoachana au kutengana.......................... kama mmoja alitendwa na hataki kabisa kumkumbuka mwenzi wake ni vyema akaharibu kumbukumbu hizo, ili zisije zikamkumbusha maumivu aliyokwisha yasahau..................