Picha zinazofutwa kwenye simu zinakwenda wapi

Vinakuwepo kwenye memory iyo iyo ila vnakuwa not readable, ila hupotea kadri unavyoweka vi2 vipya ktk iyo space
 
mwanzoni nilidhani ni typo....sasa, naona ni haki yangu kusema sielewi unazungumzia nini...

Typo ndio nini Mkuu?Mwanzoni nilidhani sijasoma vizuri,ila sasa nashawishika kusema sielewi ulitaka kumueleza nini Mzee wa "pacha".
 
Nadhani kunahaja ya makers kuzipa cm uwezo kurecycle data(recycle bin) kama ilivo kwa pc
 
mwanzoni nilidhani ni typo....sasa, naona ni haki yangu kusema sielewi unazungumzia nini...
Nimejaribu kuangalia ukaribu kati ya heruf "i" na "a" kwny keybord/keypad naona zko mbal mbali,,xax cjajua mtoa mada anatatzo gan,,
 
Nadhani kunahaja ya makers kuzipa cm uwezo kurecycle data(recycle bin) kama ilivo kwa pc

Nadhani hivi ndio imekaa vizuri, tunatakiwa kujenga tabia ya kuwa makini na kufanya maamuzi sahihi. Ukifuta umefuta. Ukitaka kuhifadhi weka kwenye nemory card na hizo unaweza kuwa nazo nyingi zenye capacity tofautitofauti.
 
Mkuu kifaa chako unachotumia I.e Simu,computer au Ipad haina herufi "I"?...Maana naona unaandika "Pacha" nadhani unamaanisha "Picha"....Kama ni Pacha huwezi kupata kwenye simu

Samahani mdau na wengine, naamnisha PICHA. Sorry for inconveniences.
 
Nimejaribu kuangalia ukaribu kati ya heruf "i" na "a" kwny keybord/keypad naona zko mbal mbali,,xax cjajua mtoa mada anatatzo gan,,

Kama mtoa mada ana matatizo, we ndio utakuwa nayo zaidi. xax cjajua ndio lugha gani?
 
Nadhani hivi ndio imekaa vizuri, tunatakiwa kujenga tabia ya kuwa makini na kufanya maamuzi sahihi. Ukifuta umefuta. Ukitaka kuhifadhi weka kwenye nemory card na hizo unaweza kuwa nazo nyingi zenye capacity tofautitofauti.

Umeniacha kidogo hapo kwenye nemory mkuu
 
Google.... Fanya auto back up. Ktk simu yako.. Cheki ktk photos highlight kama email yako ipo auto sync
 
Back
Top Bottom