Picha zinazofutwa kwenye simu zinakwenda wapi

Picha zinazofutwa kwenye simu zinakwenda wapi

Yaleyale

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
1,797
Reaction score
2,410
Habari zenu wanabodi. Jukwaa hili limekuwa na msaada sana kwa mambo mbalimbali. Kuna picha nimefuta (delete) kwa bahati mbaya kwenye tablet yangu. Je Kuna uwezekano wa kuipata tena kama inavyokuwa kwenye computer? Msaada tafadhali.
 
Habari zenu wanabodi. Jukwaa hili limekuwa na msaada sana kwa mambo mablimbali. Kuna pacha nimefuta (delete) kwa bahati mbaya kwenye tablet yangu. Je Kuna uwezekano wa kuipata tena kama inavyokuwa kwenye computer? Msaada tafadhali.

Kama umeweka backup app eg cloud9 utazipata la sivyo basi tena
 
Kwahiyo zinapotea completely??? mi mwenyewe huwa nawaza kama huyo mtoa mada

Mkuu kuna taarifa fulani nilizipata sehemu na nikaona nizipige pacha ili siku nikizihitaji nawaza kufunga tu na kuzisoma au kuprint in case. Sasa Nimezitafuta bahati mbaya ndo nahaha hapa namna ya kuzipata tena.
 
Mkuu huna herufi i? Maana naona kuanzia heading had maelezo unaandika pacha au ni kitu kingne sio picha?
 
Mkuu kuna taarifa fulani nilizipata sehemu na nikaona nizipige pacha ili siku nikizihitaji nawaza kufunga tu na kuzisoma au kuprint in case. Sasa Nimezitafuta bahati mbaya ndo nahaha hapa namna ya kuzipata tena.

Mkuu kifaa chako unachotumia I.e Simu,computer au Ipad haina herufi "I"?...Maana naona unaandika "Pacha" nadhani unamaanisha "Picha"....Kama ni Pacha huwezi kupata kwenye simu
 
Mkuu kuna taarifa fulani nilizipata sehemu na nikaona nizipige pacha ili siku nikizihitaji nawaza kufunga tu na kuzisoma au kuprint in case. Sasa Nimezitafuta bahati mbaya ndo nahaha hapa namna ya kuzipata tena.

Halafu pacha ndio nini
 
re: pacha zinazofutwa kwenye simu zinakwenda wapic.

habari zenu wanabodi. Jukwaa hili limekuwa na msaada sana kwa mambo mablimbali. Kuna pacha nimefuta (delete) kwa bahati mbaya kwenye tablet yangu. Je kuna uwezekano wa kuipata tena kama inavyokuwa kwenye computer? Msaada tafadhali.

mkuu kuna taarifa fulani nilizipata sehemu na nikaona nizipige pacha ili siku nikizihitaji nawaza kufunga tu na kuzisoma au kuprint in case. Sasa nimezitafuta bahati mbaya ndo nahaha hapa namna ya kuzipata tena.

mwanzoni nilidhani ni typo....sasa, naona ni haki yangu kusema sielewi unazungumzia nini...
 
Back
Top Bottom