Picha zilizobeba meseji nzito.

Namba tatu na tano zimenisikitisha!! Na zote zina maana moja,yule unayempenda na kumheshimu ndiye anaye kuua au kukulemaza maisha!! African way! Namba moja ni simple logic,unakata Mti wenye matunda,unajengea jengo la ibada na kupiga magoti humo ndani ukimuomba mungu akudondoshee matunda,so fun kwa kweli!
 
Ni vile hatufuatilii,uzi kama huu upo humu na picha zote hizo zipo humu.

Uzi unaitwa picha fikirishi.
 
Namba 4 jamaa anapumulia mashine lakini SMART phone inaishiwa charge anaamua kwenda zake kucharge, anaondoa plug ya mashine anayopumulia anaweka simu oxygen inakata anakufa.
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…