Samahani wadau naombeni maana ya "kula bata" maàna mimi kwenye picha namuona huyo mdada kapiga picha mbele ya jengo..Unajua shoga yetu Cheusi mangala mambo yake sio Haba , sema tu ni vile yeye hanaga show off za kipumbavu, ni miongoni mwa mastaa wachache ambao wanaishi maisha ya kifahari, anaishi nyumba nzuri , na kama ulikua hujui , Ana push your dream car , BMW X6, na Ana biashara zake kadhaa hapa mjini .
Ila mwenzangu najiulizaga, jeuri ya pesa anapata wapi? Ni WASAFI alikoajiriwa au mumewe ? , maana cheusi mangala pesa anazo na hakanaga majivuno, au ndo baba watoto wake bado anahudumia?
Ila zamaradi Ana akili bwana , akitembezi kwa wanaume wa hovyo , Hana muonekano mzuri kihivyo Ila kichwani yupo smart sana tofauti na mastaa wenzie, na ndio maana nadhani Ana hang out na wanaume wa maanaView attachment 893840
Tunabadilishana.Waswahili bana...mtu kusafiri kwenda USA kwake anakula bata???..... kweli Mwl Nyerere alitufungia tz tumechelewa mno kupata exposure na umasikini ulitujaa mpaka kwenye kope
Akijibu nitagwe una hangout na wanaume wa aina gani?
ile kukanyaga tyuuu MAMTONI ni bhatta tosha... ata asipokula mihogo poa tuSasa hapo anakula bata?!
Yaani yule waziri sijui naibu waziri wa kula Bata nilimshangaa sana baada ya kuona ile clip.
Et ukipata 60,000/= Chukua 40,000/= kula bata.
Hii nayo ni habari? USA kwani ni nje ya ulimwengu huu? Marekani kwa kawaida sana mbona.. hivi kuna watu bado wanaishobokea USA kihivi dah labda uwe hujawahi kusafiri nje ya bongo. Eti anakula bata hahahhh dunia Hii buaaana
Samahani wadau naombeni maana ya "kula bata" maàna mimi kwenye picha namuona huyo mdada kapiga picha mbele ya jengo..
Kwahio mtu akipiga picha mbele ya mlimani city ndio yuko anakula bata..
Au ukienda abroad ndio kula bata??
[emoji23][emoji23][emoji23] Binamu nini tena??Una bahati, nilikuandalia tusi zito mbwa wewe mwanahizaya mfimanyogo mwenye makalio ya mwananyoni mwana izaya wewe kupenda kudandia treni zisizokuhusu mxiew na una bahati Leo Niko vzur sijalewa
Unajua shoga yetu Cheusi mangala mambo yake sio Haba , sema tu ni vile yeye hanaga show off za kipumbavu, ni miongoni mwa mastaa wachache ambao wanaishi maisha ya kifahari, anaishi nyumba nzuri , na kama ulikua hujui , Ana push your dream car , BMW X6, na Ana biashara zake kadhaa hapa mjini .
Ila mwenzangu najiulizaga, jeuri ya pesa anapata wapi? Ni WASAFI alikoajiriwa au mumewe ? , maana cheusi mangala pesa anazo na hakanaga majivuno, au ndo baba watoto wake bado anahudumia?
Ila zamaradi Ana akili bwana , akitembezi kwa wanaume wa hovyo , Hana muonekano mzuri kihivyo Ila kichwani yupo smart sana tofauti na mastaa wenzie, na ndio maana nadhani Ana hang out na wanaume wa maanaView attachment 893840
kanali mstaafu aUna bahati, nilikuandalia tusi zito mbwa wewe mwanahizaya mfimanyogo mwenye makalio ya mwananyoni mwana izaya wewe kupenda kudandia treni zisizokuhusu mxiew na una bahati Leo Niko vzur sijalewa
Samahani kama nitakuwa nje ya ' Mada ' hivi unaweza ukawa ' Muuza Unga / Dawa za Kulevya ' halafu sehemu ya ' Mapato ' yako yatokanayo na Faida ukayatumia katika kusaidia Watoto Yatima na wale Wasiojiweza?
hah[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka binamuJamani nyie mbona wagumu kuelewa? , hiyo picha nimeweka tu , zamaradi yupo USA akisherekea birthday yake , yupo vacation , ebu msijifanye vichwa ngumu kwa kila kitu
Kamchapa mimba ngapi? Si ajabu kuna janaume linalea watoto/mtoto wa Ruge wakati ndugu zake wanahangaika kijijini hukoRuge kamharibia life huyu demu.
Si angeenda hapo Serengeti/Mikumi kutangaza mbuga zetuJamani nyie mbona wagumu kuelewa? , hiyo picha nimeweka tu , zamaradi yupo USA akisherekea birthday yake , yupo vacation , ebu msijifanye vichwa ngumu kwa kila kitu
huyu mumewe mvaa sendoz ndio unamuona anampa hela?,kwa biashara gani?,hiyo ya mission town kwa usawa huu wa magu?,ndio unasema hatembei na wanaume wasio wa maana,huenda naye yuko kwenye biashara ya gandaUnajua shoga yetu Cheusi mangala mambo yake sio Haba , sema tu ni vile yeye hanaga show off za kipumbavu, ni miongoni mwa mastaa wachache ambao wanaishi maisha ya kifahari, anaishi nyumba nzuri , na kama ulikua hujui , Ana push your dream car , BMW X6, na Ana biashara zake kadhaa hapa mjini .
Ila mwenzangu najiulizaga, jeuri ya pesa anapata wapi? Ni WASAFI alikoajiriwa au mumewe ? , maana cheusi mangala pesa anazo na hakanaga majivuno, au ndo baba watoto wake bado anahudumia?
Ila zamaradi Ana akili bwana , akitembezi kwa wanaume wa hovyo , Hana muonekano mzuri kihivyo Ila kichwani yupo smart sana tofauti na mastaa wenzie, na ndio maana nadhani Ana hang out na wanaume wa maanaView attachment 893840
Si kuna jamaa kaweka ndani huyo demuKamchapa mimba ngapi? Si ajabu kuna janaume linalea watoto/mtoto wa Ruge wakati ndugu zake wanahangaika kijijini huko