Didier Kavumbagu (kushoto) akijaribu kumtoka beki wa Black Leopards, wakati wa Mchezo huo, uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Wachezaji wa Yanga, wakishangilia bao lililofungwa na Jerry Tegete.
jj
Kikosi cha Yanga. Kikosi cha Black Leopards. Mchezaji wa Yanga, Kabange Twite (kushoto) akimiliki mpira huku akidhibitiwa na beki wa Black Leopards, Nkosiabo Xakane, wakati wa mchezo huo. Mashabiki wa Yanga, wakishangilia bao lililofungwa na Jerry Tegete. (PICHA NA SUFIANI MAFOTO)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.