PICHA ZA X (filamu za ngogo)

PICHA ZA X (filamu za ngogo)

WEWE Mwanaume unayejidanganya na hayo ma Movie ya X unayoangalia huko kisha unakuja kufanyia mazoezi kwa mtoto wa watu...acha huo ujinga..MARA umnyanyue mguu juu, mara umchanishe msamba huko, unambinua kama mcheza kungfu...
SIKIA wale wasichana ulioona kwenye hizo filamu wapo kazini aisee na wamefanya mazoezi kabla ndo maana unawaona wanajitanua bila wasiwasi.....
WEWE unaenda kwa msichana ambaye hana hata mazoezi unamtanua halafu unajifanya we unajuaaaa mapenzi, UJINGA mkubwa......
TENA kuna mwanamke anaitwa ANANIA NKYA yule mtetea haki za wanawake akikukta aisee unafungwa..haiwezekani umfanye msichana kama mdoli aisee....
ANAWEZA asikwambie kuwa anaumia lakini amini kuwa hapati raha yoyote unamtesa tu bure..

NA NYIE wasichana mambo ya kujiliza liza hovyo kama yale masichana ya kwenye filamu za X muache, yaani ukiguswa kidogo tu 'aaaaaah oooosh!!" shenzi kabisa hisia gani hizo unaguswa nywele unasisimuka, unaguswa kucha unapiga makelele.....

##ACHENI KUDANGANYIKA NA ZILE FILAMU ZA X##


Hata huyo anania nkya unaweza kuta naye anafanya hayo tena bila wasi kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom