Picha za Vurugu za KARIAKOO

Nikiwauliza Waislamu, inakuwaje mnakuwa na vurugu namna hii, kwanini msitafakari kimetokea kwa ajili gani, mnakurupuka kuanza kuchoma Makanisa. Wao wanajibu-wanaofanya vurugu na kuchoma Makanisa ni WAHUNI!

Kwa hiyo Uislamu ni UHUNI kwa kuwa hakuna Mwislamu anaye kubali kuwa kitendo cha kuchoma Makanisa ni sahihi!
 
kuna baadhi ya picha zinaleta uchochezi
 
hii picha ya watu wenye bango la kijani si ya leo.watu hawahwezi kubeba bango kama hilo kwenye maandamano.
 
Hili lilikuwa tangazo kwa ajili ya maandamano ya leo.
Magari ya Jeshi la Wananchi yakipita katika mitaa ya Kariakoo kuwataarifu wananchi kutawanyika eneo hilo.
Baada ya baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu kutawanywa kwa mabomu na askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia hapo awali, kwa sasa waumini hao wanajipanga kuvamia kituo cha polisi mtaa wa Msimbazi wakiwa katika makundi makundi mikononi wakiwa na mawe na wakiimba nyimbo. Awali magari ya Jeshi la Wananchi yalipita mitaa ya Kariakoo yakiwa na wanajeshi waliokuwa wakiamuru wananchi kutawanyika lakini hali inaonekana kubadilika maana kwa sasa waumini hao wanajikusanya upya kutimiza azma yao ya kuandamana mara baada ya kumaliza swala ya saa 10 katika msikiti wa Idrissa uliopo Kariakoo. Baadhi ya madai ya waumini hao ni KUKAMATWA SHEIKH PONDA, KUTOONEKANA KWA SHEIKH FARIDI WA ZANZIBAR NA KUKOJELEWA QURAN.
 
Kama serikali haitakuwa makini na kusimamia sheria za nchi yetu pamoja na kufanya maamuzi magumu, na hasa kwa viongozi walio Waisilamu kuwaambia ukweli Waisilamau wenzao hakika hizi propaganda za akina Shekhe Ponda na wenzake zikiingia vizuri kwenye vichwa vya Waisilamu walio wengi tena ambao maisha yameshawashinda ujue Tanzania itazalisha magaidi wengi kuliko hata Somalia na Afghanistan. Naanza kuona umoja na amani yetu ikipotea. Huku chuki na visasi vikianza kukua kwa kasi sana katika jamii yetu, JK need to do something here.
 

Hata sijaona wa ku -do something, zaidi atakuambia ni upepo tu.
 
ni matatizo ya kufuata mkumbo tu,juzi waliandamana kisa ooh kuna muvi imemkashifu mtume,ukiwauliza hao waandamanaji wenyewe kuwa ni wangapi wameiona hiyo muvi na mtume kakashifiwa vipi hawajui,sasa huu ni ulimbukeni unaosababishwa na kutokua na elimu,amkeni waislam wa tanzania acheni kugeza vitu visivyokua na maana
 

Kwenda kafiri wewe!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…