Picha za uongo zinazotumika za Amboni

Picha za uongo zinazotumika za Amboni

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2010
Posts
7,263
Reaction score
684
Hii picha ya chini ambayo inasambazwa sana kwenye mitandao ya kijamii kuwa mwanajeshi aliyeuwawa
SOURCE YAKE HII HAPA

542494783.JPG



2. hii picha inasambazwa kwenye mitandao ya kijamii hasa hasa whatap na Instragram kuwa wanajeshi wapo kw enye mapambano SOURCE YAKE HII HAPA YA 2008

1.JPG


3. HII ya chini walikuwa kwenye maadalizi ya kukabili waandamanaji wa sheh Ponda Morogoro SOURCE YAKE HII HAPA

attachment.php
 
Dah... Kachanchabuseta POKEA HESHIMA NA NISHANI YANGU...Umenifungua mengi sana...

NAJIULIZA MASWALI YAFUATAYO:
1. Je tukio hili ni la kweli
2. Nani alisambaza picha hizi
3. Kama kweli polisi wetu wapo makini ni kwa nini
wasije kukanusha kuhusu picha hizi zinazosambaa
kwa kwasi hata kama mtu ana MB 8
4. Sisi wanainchi tukisema hii issue imepikwa tena
kisiasa tena na ******* tunamakosa?
5. Anyway mimi binafsi nasikitika sana na haya
mambo yanavyoendeshwa na serikali
yangu.Tutegemee nini mbeleni kwa uongo huu?
(HAPO NO. 5 PAGUMU SANA KUNIELEWA ILA NAAMINI kuna IQ kubwa zitanielewa.


NASIKITIKA SANA NA JINSI NCHII HII.INAVYOENDESHWA...
 
Last edited by a moderator:
hii picha ya pili si walikuwa kwenye zoezi. itakuweje wajeda wengine wamesimama na kushika viuno, halafu useme wapo kwenye mapambano na gaidi.
 
Mimi hapa kuna video moja nimetumiwa whatsapp ni ya kichochezi kweli kweli na wahusika ndani ya hiyo video wanasema wako tanga na wanahamasisha vijana wote waje wajiunge nao tayari kuanza vita, pia wanajisifu kua wamevamia vituo vya polisi na kupola silaha, ni video mbaya sana
 
Mimi hapa kuna video moja nimetumiwa whatsapp ni ya kichochezi kweli kweli na wahusika ndani ya hiyo video wanasema wako tanga na wanahamasisha vijana wote waje wajiunge nao tayari kuanza vita, pia wanajisifu kua wamevamia vituo vya polisi na kupola silaha, ni video mbaya sana
Heee!!! Mbona hata humu imo siku nyingi mkuu, ya jamaa wamevaa yeboyebo, hata neno Tanzania wanalitamka kishida shida tu.
 
Tusiyapuuzie Yale tunayo yasikia lakin pia tusiyape uzito kwa yale tunayo yahisi,ila tuchukue hatua yakinifu kupambanua hya mambo
 
Dah... Kachanchabuseta POKEA HESHIMA NA NISHANI YANGU...Umenifungua mengi sana...

NAJIULIZA MASWALI YAFUATAYO:
1. Je tukio hili ni la kweli
2. Nani alisambaza picha hizi
3. Kama kweli polisi wetu wapo makini ni kwa nini
wasije kukanusha kuhusu picha hizi zinazosambaa
kwa kwasi hata kama mtu ana MB 8
4. Sisi wanainchi tukisema hii issue imepikwa tena
kisiasa tena na ******* tunamakosa?
5. Anyway mimi binafsi nasikitika sana na haya
mambo yanavyoendeshwa na serikali
yangu.Tutegemee nini mbeleni kwa uongo huu?
(HAPO NO. 5 PAGUMU SANA KUNIELEWA ILA NAAMINI kuna IQ kubwa zitanielewa.


NASIKITIKA SANA NA JINSI NCHII HII.INAVYOENDESHWA...
Hii issue ni dhahiri imepikwa.

Mnakumbuka wakati ule Wassira na Nape, walikuwa wakitamba sana kuwa Chadema itakufa kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2015?

Mkakati wao mkubwa magamba wa 'kuinyonga' Chadema ilikuwa kuihusisha na ugaidi.

Walijaribu jaribio la kwanza la 'bukoba boy' ambalo walimbambikia kesi ya ugaidi Lwakatare, jaribio lao hilo lililokuwa masterminded na yule 'original' Lameck Madelu 'msingida' ambaye amepora jina lake analotumia sasa, toka usukumani, jaribio lao hilo lilibuma vibaya sana!

Wamejaribu na hili la mapango ya Amboni, ambapo target ilikuwa kuwaimplicate ukawa kuwa ndiyo magaidi 'wazoefu' nalo limebackfire.

Kitu ambacho hao masisiem wanashindwa kukielewa ni kuwa unapofikia mwisho wa kitu chochote ambao umepangwa na Mungu, wewe binadamu huna uwezo wa kuuongezea mwisho huo hata kwa dakika moja.

Kwa namna hao magamba wanavotapatapa kwa sasa, ni dhahiri kwa sasa huu mwaka 2015, hawaelekei kabisa kuuvuka.

Walidhani hao policcm zile mbinu zao walizotumia mwaka 2000 kuwabambikia CUF vile visu vya 'container' kwenye uchaguzi mkuu wa wakati ule, walidhani wanaweza 'kurepeat ile movie' kwa ukawa mwaka huu 2015, kwa bahati mbaya sana, safari hii imekula kwao!
 
Last edited by a moderator:
Tukio la Amboni labda mabomu yalifikia expiring date wakaenda kuyalipua kwa kisingio cha ugaidi na kukwepesha kura ya maoni/uboreshaji wa daftari.
 
Are you telling us the government would go to such an extent just to deter the 'qadhi-court'? makubwa.

Kwani picha zilizoletwa hapa zilikuwa official za jeshi la polisi, ama ushuhuda wa gazeti?

Na kwanini serikari ifanye mambo ya ajabu kama haya au wanasababu gani? it doesn't make sense

One side consist of pathological lies which one, I still side with government accounts of events far.
 
Nchi inaendeshwa kiuongo-uongo katika nyanja zote! Ni yaleyale ya "Pesa za Escrow siyo za umma"! Hapa kuna Chama choka mbaya! Namna hii, kweli tutafika!!????
 
Back
Top Bottom