Picha za Mv Pangani II na Basi linalozama taratibu

Picha za Mv Pangani II na Basi linalozama taratibu

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,249
MvPangani.jpg pangani.jpg
 
Attachments

  • pangani.jpg
    pangani.jpg
    48.7 KB · Views: 669
  • pangani.jpg
    pangani.jpg
    39.6 KB · Views: 594
Khaah ebu tueleweshe kwa undani zaidi how did it happened
 
Leo ndo nimejua kwa nini wanashauli gari likiwa linaingia katika kivuko abilia watelemke sasa kama hapa wagekuwemo ndani ndio majanga tena.
 
Tunashukuru mungu amenusuru hakuna maafa yaliyotokea ....home sweet home, mara kadhaa nimesafiri na hilo bus
 
Hilo gari nalifahamu, linatoka tanga mjini kwenda kipumbwi. nilishawahi kupanda kwenda ushongo na mikocheni. Lina vumbi kinoma kwa ndani.
 
wakuu wameshindwa kufanya ukaguzi wa magari na sasa mpaka kwenye vivuko ambavyo kimsingi ni vichache!
Lakini Mbowe/cdm hata wakitamka neno wakiwa faragha nguvu zote zitaelekezwa huko, kwa hakika haya ni moja ya maajabu!
 
Leo ndo nimejua kwa nini wanashauli gari likiwa linaingia katika kivuko abilia watelemke sasa kama hapa wagekuwemo ndani ndio majanga tena.

Nijuavyo mimi ni kuwa watu wote wanatakiwa watoke kwenye magari wakati gari linapovushwa lakini Bongo tunapenda kudharau kila kitu.
 
Watu 700 Pangani kwenda/kutoka Bweni?Ni vigumu kuamini,kiongozi,niwie radhi.
 
Hilo gari nalifahamu, linatoka tanga mjini kwenda kipumbwi. nilishawahi kupanda kwenda ushongo na mikocheni. Lina vumbi kinoma kwa ndani.

Likitoka humo vumbi yote kwisha sasa.
 
Mungu awape faraja waliopo kwenye kipindi hiki kigumu kufuatilia ndugu na jamaa waliokuwa safarini.

Hii inatukumbusha baa la MV Bukoba
 
Back
Top Bottom