Picha za mkutano wa Dr Slaa - Rombo

Picha za mkutano wa Dr Slaa - Rombo

PayGod

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2008
Posts
1,259
Reaction score
64
wadau kama kuna mtu ana picha za mkutano wa dr slaa leo, TARAKEA, apost maana nasikia ilikuwa balaa
 
Labda NGUNGA imeua macho yangu maana sizioni hapo
 
ahaaa nimeziona. only clever and wise ndo watakaoziona. zaidi ya hapo imekula kwenu.
rudini home mkawe wise ndipo mfungue upya hii sread
 
DSCF8109.JPG mgombea udiwani, nanjara reha.JPG DSCF8096.JPG
 
Duuh ! ngoja nikachukue mawani ya babu yangu
 
Bye Bye Mramba.

Nimepata habari kutoka kwa mfanyabiashara aliyepo Tarakea.

Ni kuwa DK SLaa amepata watu maelfu na kuna wanachama wengi wa CCm wamerudisha kadi zao.

Thanks God, fisadi anashindwa. kweli wachaga hawana mchezo na fisadi
 
Picha tafadhali, naona kikundi cha watu wachache jamani, hata kupiga picha inakuwa tabu au ccm wanachakachua hizo picha hewani kabla ya kuingia JF. Dr Slaa for presidency, we don't need JK and Family company Limited. Najua anataka kumpa Riziwani uwaziri, but its too late now and later be a president of URT.
 
Back
Top Bottom