Picha za magari - Official Thread.

Safi sana Mkuu
Fahari ya Macho haifirisi duka
Kuona sio kuchukua !
 
Nimesaficha vijicho vyangu,,, me napenda prado sijui ni ushamba wangu.
 
la kwanza na la mwisho nimeyapenda cjui ndo yanaitwaje maana mie najua tu daladala
 
Nikiazima lugha ya jirani yetu Teacher Wanjiku angesema "Dio" halafu alama ya dukuduku!!!!!! Halafu tukiangalia hizo picha ndio inakuwa nini?

Tiba
 
Nikiazima lugha ya jirani yetu Teacher Wanjiku angesema "Dio" halafu alama ya dukuduku!!!!!! Halafu tukiangalia hizo picha ndio inakuwa nini?

Tiba

unamaanisha nini mkuu? unataka picha ya gari gani?
 
Nimesaficha vijicho vyangu,,, me napenda prado sijui ni ushamba wangu.
...i prefer vx land cruiser. Sikumoja miaka hiyo nilikuwa hotel moja,nilikuwa mshamba, jamaa kapaki hakuzima taa wala engine,huyooo kaondoka,nikamfuata umesahau kuzima taa kumbe kitu ilikuwa full auto kabla sijamaliza kitu ikazima taa na injini,aseee nilikuwa mwembamba...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…