PICHA ZA leo

Hii zanzibar kweli?.....dah!ufukwe maji crystal clear........
 
aaah ivuga umenikumbusha zenj hiyo picha yamwisho kiwengwahapo kaka ktk ile bridge unajirusha mpaka kuche,kweli zenj ninjema na atakae aje?zenj rrrrrraaahhaaaaaaah!!
 
Hii zanzibar kweli?.....dah!ufukwe maji crystal clear........

Zanzibar mkuu ..ila sishangai watu wengi hatuijui nchi yetu mkuu inabidi tuanzishe kampeni za domestic tourism ...wabongo hawapendi hii kitu kwenda kumpumzika
 
Zanzibar mkuu ..ila sishangai watu wengi hatuijui nchi yetu mkuu inabidi tuanzishe kampeni za domestic tourism ...wabongo hawapendi hii kitu kwenda kumpumzika

thanks mkuu.....my next trip bongo lazima nika tulie kidogo zenj
 
safi kabisa, tukijitahidi kulinda usafi sehemu hizo na kuhamasisha wazawa nao wafanye utalii wa nchi yao tunaweza kuvutia wetu wengine zaidi.
 
Duh!kumbe zenji imetulia kweli kweli!kunafaa kwenda kujiachia kwa mapumziko!!
 
badae nitawawekea picha ya mwembe basha kama kuna mtu ambaye ashawahi kuskia stori yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…