Hakuna vikosa vidogo, ni kosa kubwa na ushamba kuandika 'sterling' badala ya 'steering wheel' ama 'usukani'. Ushamba hapa ni kwamba umetumia jina la kampuni maarufu ya ujenzi ya Italia, Sterling Astaldi kuzungumzia usukani wa gari.Hakuna kitu kiitwacho sterling kwenye gari ila kuna steering wheel. Washamba wa lugha walichanganywa na jina la ka,mpuni ya Italia na steering wheel, wakifikiri ni vitu vinavyohusiana. M.E.M.A, usiwe mmoja wa hawa washamba!
2. Kupiga picha ndani ya gari, malango wazi, umeshikilia sterling, na unamuangalia mpiga picha.
kupiga picha round about umeshika uwaa....Kwa mtazamo wangu hizi ndio picha za kishamba:
1. Kupiga picha umeshika soda
2. Kupiga picha ndani ya gari, malango wazi, umeshikilia steering/usukani, na unamuangalia mpiga picha.
3. Kupiga picha umesimama kando ya TV
4.....endelezeni
M.E.M.A, usibishe tu kwa kupenda ubishi,Tazama hapo chini nukuu ya thread yako, kipengele namba 2Kutokujifunza na kudhani mtu habadiliki ni ushamba. Wapi imeandikwa 'sterling'? Hebu kasome vizuri thread na uache ushamba.
M.E.M.A, you are not playing a fair game! Original thread yako uliandika sterling. Nilipokukosoa ukabisha lakini haraka haraka uka-edit thread ili isomeke 'steering/ usukani.' Rejea post yangu niliyo kuquote, utaona thread yako kabla hujaedit tarehe 17/11/2013 saa nne na dakika tatu asubuhi. Au nasema uongo? Ulilolifanya si uungwana mtu wangu!Kutokujifunza na kudhani mtu habadiliki ni ushamba. Wapi imeandikwa 'sterling'? Hebu kasome vizuri thread na uache ushamba.
Unaandika kitu wewe mwenyewe halafu unakiita feki?Hiyo feki wewee..
Mbona hayo yote ndio mapozi yanguuuuuu