Picha za kampeni za Museveni zambandikwa kwenye uwanja wa ndege wa Uganda

Picha za kampeni za Museveni zambandikwa kwenye uwanja wa ndege wa Uganda

ChekoFagia

Senior Member
Joined
Sep 20, 2025
Posts
115
Reaction score
339
Picha za kampeni za Rais Museveni zipo kote kwenye uwanja mkuu wa ndege wa Uganda lakini si za Bobi Wine au wagombea wengine. Kaulimbiu yake ni “kulinda mafanikio” baada ya miaka 40 madarakani.


======​
President Museveni’s campaign posters are all over Uganda’s main airport but not Bobi Wine or the other candidates. His slogan is “protecting the gains” after 40 years in office.

"Last night as i returned, i walked into an airport full of Yellow campaign posters all over. Worst thing i have seen in a while. We even cant keep our airport looking clean. The posters have been put in every single place and placed in the most random ways with no alignment or format.

Have you passed by kololo airstrip lately, have you seen the yellow mess they have done there, thats whats inside the airport. I was so angry to take pictures. But imagine posters on the pillars, posters on the glass walls, posters on the information desk. All randomly places".
 
Huku Tanzania mgombea mmoja alianza kampeni 2021 Kwa kuweka mango nchi nzima
 
Back
Top Bottom