Sema kama nenga
Member
- May 8, 2025
- 24
- 114
Umewahi kaa mahabusu ya bongo kwa siku moja?Jela ni jela tu ndugu yangu
Sijawahi lakini najaribu ku imagine kisaikolojia unakuwa deprived away from social interactionUmewahi kaa mahabusu ya bongo kwa siku moja?
Hata shule za government boarding school ni magereza ya Hali ya juu kuanzia ratiba ngumu vyakula na mazingira kwa ujumla wake..Sijawahi lakini najaribu ku imagine kisaikolojia unakuwa deprived away from social interaction
Uko sahihi How, si unajua tena.What or how?
HahahahahaHuko hata nikila mvua ya aka Tano poa tu!