Vankiwelu255
Member
- May 26, 2015
- 57
- 12
Nimeikubali jaribu kuja Bongo,uangalie biashara.Hi wakuu hizi ni mojawapo ya kazi nazofanya wakuu hii ni club IPO Nairobi naifanyia renovation
Nimeikubali jaribu kuja Bongo,uangalie biashara.
Jana Alhamisi (08/10) kipindi cha Ujenzi cha EATV kulikuwa na picha za michoro mizr sn.
Mwenye access na mtangazaji ebu msaada mziwe hapa jameni.