picha za 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

picha za 2011

Discussion in 'Jamii Photos' started by Saint Ivuga, Jan 5, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,409
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 3,193
  Trophy Points: 280
  Sasa hapo Dar mboga zenyewe za mto msimbazi wenye sumu na uchafu wa kila aina, si afadhali kujilia nyama na maharage tu!
   
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Halafu na hizo alizozivaa ni haki kweli kuzila, hiyo ni karibu ya kilo 5 kwenda juu. Huu ni uharibifu, bongo by nature watu wanakula majani, maisha yenyewe ya tabu, nyama, chicken and samaki havishikiki kwanini usiwe baniani wa hiari?
   
 4. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  wapi hii jamni duh
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,409
  Trophy Points: 280
  mjini hapa wewe shauri yako bibie
   
 6. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Tatizo baba watoto saa nyingine unanikimbia unaenda mwenywe lol
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Jan 7, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,409
  Trophy Points: 280
  poa basi tutakua tunatoka wote sema we sitaki uchoke we binti bora sm time uwe unakaa ndani tu
   
 8. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #8
  Jan 7, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  kapendeza sana. ni njia nzuri ya kufikisha ujumbe kwa haraka na effectivelly kwa walengwa
   
 9. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #9
  Jan 7, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  kwa nini isiwe haki madam wangu, tena wakaka wataziprnda sana hizi, jaribu kuzipiga mnada uone. watu wanapenda chummvi sembuse mboga? suala la kilo 5 nadhani angalia thamani ake na ujumbe uliokusudia. unajua hapo kawasaidia madaktari wangapi duniani kutoa ushauri kama huo, kasaidia watu wangapi kuimarisha macho yao, kinga zao za mwili na vitaminis, kuepuka vitambi nk kama utamsikiliza, ujumbe wake ni mzito na wenye thamani zaidi ya kilo 5 za mbogamboga, na kikubwa umebebwa na mwanamama. very proud!
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Jan 7, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,409
  Trophy Points: 280
  mmmm! Mambo da judithi
   
 11. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  teacher huyo mdada anaitwa mary wanjiru ni mmojawapo wa wadada wanaopiga kampeni dhidi ya ulaji nyama yaani ukatili wa wanyama.hapo anakatiza mitaa ya nairobi.
   
Loading...