L Leornado JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 1,529 Reaction score 200 Dec 28, 2010 #21 El Toro said: Huyu si alikuwa demu wa zamani wa MwanaFA ina maana kwa sasa yuko na Hasheem? Click to expand... maslahi baba maslahi...hata Aly choki zamani alikuwa Twanga pepeta na sasa yupo kivyake kisa maslahi. Hahim Sabiti maslahi yake na bata si mchezooo
El Toro said: Huyu si alikuwa demu wa zamani wa MwanaFA ina maana kwa sasa yuko na Hasheem? Click to expand... maslahi baba maslahi...hata Aly choki zamani alikuwa Twanga pepeta na sasa yupo kivyake kisa maslahi. Hahim Sabiti maslahi yake na bata si mchezooo
boma2000 JF-Expert Member Joined Oct 18, 2009 Posts 3,321 Reaction score 319 Dec 28, 2010 #22 El Toro said: Huyu si alikuwa demu wa zamani wa MwanaFA ina maana kwa sasa yuko na Hasheem? Click to expand... Umeisha jijibu
El Toro said: Huyu si alikuwa demu wa zamani wa MwanaFA ina maana kwa sasa yuko na Hasheem? Click to expand... Umeisha jijibu
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,575 Dec 28, 2010 #23 El Toro said: Click to expand... hivi nayo hii ni nguo eeeh?
Wayne JF-Expert Member Joined May 27, 2009 Posts 659 Reaction score 204 Dec 30, 2010 #24 El Toro said: Kwa msiomjua mke wa Michuzi ndio huyu.... Click to expand... Hai-make sense Wewe unajua tofauti ya mke na wachakachuaji au.....???!!! wacha masihara kabisa wewe...MKE ANATOKA MBALI sheikh...ohh
El Toro said: Kwa msiomjua mke wa Michuzi ndio huyu.... Click to expand... Hai-make sense Wewe unajua tofauti ya mke na wachakachuaji au.....???!!! wacha masihara kabisa wewe...MKE ANATOKA MBALI sheikh...ohh
Rubi JF-Expert Member Joined Oct 5, 2009 Posts 1,615 Reaction score 332 Dec 30, 2010 #25 Mmh picha nzuri ee.
M mawengi Member Joined Dec 29, 2010 Posts 5 Reaction score 0 Dec 30, 2010 #26 raha ya kuishi ukanda wa joto ndio kama hii
M mawengi Member Joined Dec 29, 2010 Posts 5 Reaction score 0 Dec 30, 2010 #27 pamoja na kupiga konoz yoote hiyo mbona mke mwenyewe hajatoa ushirikiano wowote,inatia shaka
JOYCE PAUL JF-Expert Member Joined Jan 8, 2010 Posts 1,005 Reaction score 83 Dec 30, 2010 #28 mwalimu said: duh! Mbona huyu anatisha?? Click to expand... anatisha balaaa huyu ukikutana nae gafla kona za kinondoni makaburini lazima utoke baru nla ajabu break ya kwanza mwananyamala hospital.mh eti super model me hata sielewagi kwakweli tanzania kwa kupeana vyeo na majina ni balaaaa
mwalimu said: duh! Mbona huyu anatisha?? Click to expand... anatisha balaaa huyu ukikutana nae gafla kona za kinondoni makaburini lazima utoke baru nla ajabu break ya kwanza mwananyamala hospital.mh eti super model me hata sielewagi kwakweli tanzania kwa kupeana vyeo na majina ni balaaaa