Picha yangu ya Wiki

Kuna mda nawaza ingeweza kurudi hata siku moja nyuma niwe mtoto kama zaman.
Nakikumbuka zaman nikisakiziwa mwanamke nimtongoze nalowa mpaka jasho linanitoka kwa woga,
. Nakumbuka siku nmeenda kwa mganga wa kienyeji ili anipe dawa ya wanawake,
. Nakumbuka sehem nilipojenga kakibanda kangu ka miti nikiishi humo lakn leo hata raman haipo,
. Nafikiria kuwa haitajirudia tena maisha tunatoka mbali sana
 
If I could turn back the time chake chake kitivo utondolo shimoni mpaka dochi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…