Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,318
- 33,125
Mbona hii ni picha ya Mandela?
Mbona hii ni picha ya Mandela?
hajampatia awarudishie pesa yao
NILIPATA MSAMARIa mkuuAmavubi hata mimi nilikua najiuliza huyu kwenye hii sanam/picha ni nani? Kama wasigeandika Mandela huwezi kupatia hata kama ukipewa nafasi 10 utaje anafanana na nani ya Mandela itakua nje kabisa ya hiyo.
Siku hizi mbona huweki malapa tena kwenye Avator? Thanks
Amavubi hata mimi nilikua najiuliza huyu kwenye hii sanam/picha ni nani? Kama wasigeandika Mandela huwezi kupatia hata kama ukipewa nafasi 10 utaje anafanana na nani ya Mandela itakua nje kabisa ya hiyo.
Siku hizi mbona huweki malapa tena kwenye Avator? Thanks