Huyu alikuwa Star lakini ni Mwana CCM Damu ndio maana kapiga picha na viongozi wake wa CCM.Mhh...hata kama ni star,si bure mbona kapiga picha na kila kigogo wa chama? Anyway, ameng'arisha picha kiasi!
Mkuu kabanga umefika mbali huko sikutegemea kama utaweza kufika huko :smile-big::smile-big::smile-big: kwani Samaki kazi yake ni nini? kuelea baharini au kuliwa?Isije kuwa chakla ya wakubwa ...
Akija bongo mtampa nyinyi wenyewe ubunge huyoooooooooooooooooo..na yeye ana dream za kuwa mbunge wa viti maalumu.
Mimi ni Dume la nguvu nimeona bora nitumie kiswahili hicho ili Member waje wengi kuangalia Picha iliyonivutia leo asubuhi hahahhahah usijali mbinu za kuwa vutia watu waone nilichoweka ni nini.Mzizi Mkavu
ulinishituwa uliposema picha yangu ya leo asubuhi halafu ninamuona kimwana na Mh, sasa kwani wewe ni mwanamke?
nauliza tu na samahani kama suali langu limekukwaza
Mimi ni Dume la nguvu nimeona bora nitumie kiswahili hicho ili Member waje wengi kuangalia Picha iliyonivutia leo asubuhi hahahhahah usijali mbinu za kuwa vutia watu waone nilichoweka ni nini.
Huyu alikuwa Star lakini ni Mwana CCM Damu ndio maana kapiga picha na viongozi wake wa CCM.
ndivyo itakavyokuwa hivyo hivyo mkuu.Huyo naye aliyevalia jeans na kofia ya chama naye ni mwanachama mkongwe au mhamiaji?
hao ndio SISISISISISISI EMU chama Tawala ya bongo....................Mmmmmmh Hawa ndiyo chama tawalaaa?