samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
Mliopo huko tupieni updates au kama inaoneshwa live kwenye Azam Tv au TBC,ITV mtujuze wengine tuko mbali na hapo.
Kama ingekuwa inawezekana kutua na ndege Kariakoo/Jangwani tulipofika tuu Airport tungepanda Ndege itupeleke Jangwani.
Tupa stress kulee...Kuwa shabiki wa yanga stress zinakuwa kuleee
Kabisa ndugu yanguTupa stress kulee...
Hata kama ni mbili kwa moja bado ni 3points,hicho hicho kiushindi kidogo watanzania tunajivunia,timu ngapi kubwa zimepambana kufikia alipo fikia yanga lakini zimeshindwa. wabongo banah tukifungwa makelele tukishinda pia makelele, tusipo wapa moyo ni nani atafanya hivyo kama sio sisi watanzania, sometime jaribu kuazima ata akili ili ikusadie kuweza kuchambua mamboAisee yaani kupita kwa 2 moja halafu ndio kwanza mashindano yanaanza ndio mapokezi? Ndio maana mpira umesimama, sasa wachezaji si wataona kazi imeisha? Mjini hakuna kazi
Kauli kama za wa matopeni fc hziAisee yaani kupita kwa 2 moja halafu ndio kwanza mashindano yanaanza ndio mapokezi? Ndio maana mpira umesimama, sasa wachezaji si wataona kazi imeisha? Mjini hakuna kazi