Picha ya Zari Bosslady

Unaishia kujipendekeza tu. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ya kupanda ndege na kutongozana ni ya wewe na Diamond (Bonny), mimi tunaanzia mwanzo kabisa kwenye maisha mpaka tunapata watoto ndo Diamond aje kwenye movie.
Ha ha ha ha kwa kujipendelea tu siku wez aiisee ndugu yangu
 
Ha ha ha ha kwa kujipendelea tu siku wez aiisee ndugu yangu

Sasa mkuu wewe umesema niplay part ya Ivan, na wewe uje akiwa tayari ni single mother, hiyo si ndo part yenyewe?
 
Sasa mkuu wewe umesema niplay part ya Ivan, na wewe uje akiwa tayari ni single mother, hiyo si ndo part yenyewe?
Ha ha ha mtu gan hutak kuanzia kwenye ugonjwa unaanzia kwenye kuzaa watoto dah
 
Kwani Ivan na Zari wameanzia kwenye ugonjwa?

Lazima tuzae, wewe umchukue halafu ndo niumwe aje kuniuguza movie iishe.
Ha ha ha ha ha daah kaka naona golkeper wewe beki wewe kiungo wewe mshambuliaj wewe na unataka uwe TFF MWENYEWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…