Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,612
Alikisudia mwananchi gani apige picha wakati wa mvua na kitecno chakeAlienda kupiga picha tu, Hakwenda kusaidia kuokoa. Kwa maana na yeye pia anasaidiwa asidondoke. Hao wanaomsaidia pekee wangetosha kubeba watu wawili.
Kipindi cha uchaguzi usishangae akatumia hizo picha kwenye kampeni. Kwanza kwa kiasi flani ni dharau kubwa kwa anaotaka kuwaaminisha alikua anaokoa watu. Anawaona ni wajinga.
Labda kama alipigwa bila dhamira yake, na watu wakaitumia isivyo.
Hiyo miundombinu ya kuweza kuzuia maji ya mafuriko ingekuwepo nchi za dunia ya kwanza usingekaa usikie kitu kinachoitwa mafuriko huko kwaoAtakayempa kura mbunge kisa alikubeba wakati mvua inanyesha atakua ana matatizo, kwasababu kilichosababisha maji kutuama ni kukosa miundombinu ya maji taka, mitaro na mifereji ya kuyaelekeza hayo maji sehemu stahiki.
Huyo mbunge ameshindwa kusimamia hayo yote badala yake kaja na fulana nyeupe kuja kukubeba.
Mara ya mwisho Tanzania kunyesha mvua ambayo iliitwa ya mawe ni mwaka 1999, tulipata after effects za Tsunami kidogo mnoo nadhani 2006 au 2007.Hiyo miundombinu ya kuweza kuzuia maji ya mafuriko ingekuwepo nchi za dunia ya kwanza usingekaa usikie kitu kinachoitwa mafuriko huko kwao
Kwa njia pekee ni kusubiri maji yamfike ukambebe aliko......Au kumshauri mapema eneo analokaa ni hatari aondokeee mwenyewe mapema na vitu vyakeKama mtu anakaa bondeni hata utengeneze mifereji gani mafuriko yatatokea tu
Unaamua kuruka ruka sasa... Hakuna sehem yeyote dunian wanakoweza zuia lililotokea Tanga... Unless mtu aamue tu kupiga kelele kama ilivyo desturi ya mtanzania.... Uwe umepumzika hata kwa miaka 100000 bila kash kash yeyote, siku likifika limefika halizuilikMara ya mwisho Tanzania kunyesha mvua ambayo iliitwa ya mawe ni mwaka 1999, tulipata after effects za Tsunami kidogo mnoo nadhani 2006 au 2007.
Hatujawahi kukumbwa na vimbunga. Tetemeko liliwahi kutokea mikoa ya kusini kipindi hicho tunatawaliwa na wakoloni.
Tumekuja kupatwa na tetemeko la kuweza kuharibu miundombinu mwaka jana.
Piga hesabu wenzetu wameshakumbwa na vitu vingapi kipindi sisi tupo shwari, na ili kwao yatokee mafuriko hua ni kama mvua iliyonyesha hapa kwetu au kwao huambatana na upepo mkali na vimbunga pia?
Kama haya yote unayajua, basi umejitoa akili. Kama huyajui pole mkuu inabidi usome sana.
Narudia tena 'SOMA'Unaamua kuruka ruka sasa... Hakuna sehem yeyote dunian wanakoweza zuia lililotokea Tanga... Unless mtu aamue tu kupiga kelele kama ilivyo desturi ya mtanzania.... Uwe umepumzika hata kwa miaka 100000 bila kash kash yeyote, siku likifika limefika halizuilik