Plato
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 420
- 94
Wakuu, nimeiona picha ya wassira akiwa amelala bungeni kwenye www.mjengwablog.com nadhani ni muhimu iwekwe hapa pia ili kazi anayomuombea sioi sumari ifahamike ni nini kule bungeni.
Wewe uliogopa nini kuiweka humu? Ole wake atakayenidisplay hapa!
Wewe uliogopa nini kuiweka humu? Ole wake atakayenidisplay hapa!
Wewe uliogopa nini kuiweka humu? Ole wake atakayenidisplay hapa!
Ndio, domo langu ni baya, lakini mimi ni Waziri, wewe je? Hata kiapo nilikula kwa maneno yaliyotoka kwenye domo hili hili. Naweza nikawa nimefumba macho lakini nafuatilia mijadala ya bungeni kama au zaidi ya aliyetumbua mimacho. Kwani macho yakifumba na masikio yanaziba? Acheni wivu, mimi ni waziri na Nassari atakuwa mbunge, aargh no I mean Sioi atakuwa mbunge!Haya maneno yanaendana na domo lako!!!!
Anaumwa ugonjwa kwa kitaalamu unaitwa TRYPANOSOMIASIS. Trypanosomiasis is a ZONOTIC DISEASE that means it affects HUMAN as well as ANIMAL. Trypanosomiasis in HUMAN is called SLEEPING SICKNESS and in ANIMAL is called NAGANA. Since the hounorauble is from GOMBE reserved area then he must be suffering NAGANA disease.
Ndio, domo langu ni baya, lakini mimi ni Waziri, wewe je? Hata kiapo nilikula kwa maneno yaliyotoka kwenye domo hili hili. Naweza nikawa nimefumba macho lakini nafuatilia mijadala ya bungeni kama au zaidi ya aliyetumbua mimacho. Kwani macho yakifumba na masikio yanaziba? Acheni wivu, mimi ni waziri na Nassari atakuwa mbunge, aargh no I mean Sioi atakuwa mbunge!
Wewe uliogopa nini kuiweka humu? Ole wake atakayenidisplay hapa!
Huyu mtani wangu anasumbuliwa na ISIMAGILA ni neno la kilugha chetu nimempigia simu akishashindwa huko alipo aje anywe dawa. Ni aibu na sijui kwenye kampeini muda mwingi lazima asimame vinginevyo kukoroma kama kawa.