picha ya upendo!

Hayo mapenzi yanahitaji roho ngumu aiseee
 
Hahahaaaaaa ningekua mimi ningeondoka na huo mwanvuli kabisa anyeshewe hadi anitake radhi......mzxcrth@a#£%&@,U_UO.O:O:0)
 
Hahahaaaaaa ningekua mimi ningeondoka na huo mwanvuli kabisa anyeshewe hadi anitake radhi......mzxcrth@a#£%&@,U_UO.O:O:0)

Duh! Hapo Utakuwa Unazidi Kubomoa Mkuu.
 
Mbona hiyo sacrifice ndogo tunafanya makubwa zaidi ya hayo.... Wanawake wangejua wasingekuwa wanazingua Kaya kihivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…