englibertm JF-Expert Member Joined May 1, 2009 Posts 9,252 Reaction score 6,211 Jun 29, 2015 #1 Rais wa Burundi Mh. Pierre Nkurunzinza akifika kwenye kituo cha kupigia kura cha kijiji chake cha Ngozi nchini humo.
Rais wa Burundi Mh. Pierre Nkurunzinza akifika kwenye kituo cha kupigia kura cha kijiji chake cha Ngozi nchini humo.
Mwana JF-Expert Member Joined Aug 6, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,967 Jun 29, 2015 #2 Heee anajiamini!
nG'aMBu JF-Expert Member Joined Mar 9, 2015 Posts 2,070 Reaction score 3,162 Jun 29, 2015 #3 Saharavoice said: Nina maana walikuwa wakiamini kuwa wataizima kama walivyozoea, si unakumbuka vikao kibao vya wabunge wa ccm kuwekana sawa kabla ripoti haijasomwa? Makamba alishindwa na ndiyo bado kapigwa butwaa hadi sasa Click to expand... Lakin hata ivyo kajitaidi kuijenga burundi
Saharavoice said: Nina maana walikuwa wakiamini kuwa wataizima kama walivyozoea, si unakumbuka vikao kibao vya wabunge wa ccm kuwekana sawa kabla ripoti haijasomwa? Makamba alishindwa na ndiyo bado kapigwa butwaa hadi sasa Click to expand... Lakin hata ivyo kajitaidi kuijenga burundi