picha ya siku

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211


President Obama drives a car simulator during his tour of the Turner-Fairbank Highway Research Center in McLean
 
Wakwetu akakutana na wasanii kutoka kwa Obama ni majukumu ya kazi tu
 
englibertm
Tukio hili halikuwa kama linavyohadithiwa hapa kwamba Obama aliendesha gari, ila katika visiting yake alikuwa anajaribia gari hilo kama inavyotokea viongozi wetu wanapojaribia matrekta nk. Tujaribu kuweka taswira za matuko na habari zinazorandana na ukweli kuliko kuongeza chumvi kwa kitu kisicho akisi tuko lenyewe lilivyokuwa.

Soma habari hii hapo chini kupata ukweli wa tukio. Rais kwa nafasi yake na usalama, uzito na majukumu anatakiwa awe na dereva anayemwendesha, si yeye kushika usukani, hili lipo po pote.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…