Picha ya siku

Picha ya siku

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
10437403_261706284014395_8004650082050267927_n.jpg
 
Jamaa wenye mavazi meupe wamekaa tayari kwa kupiga tochi
 
Kilimanjaro bus hiyo, sheria hairuhusu ku overtake hapo lakini scania haiwezi kwenda mwendo wa kinyonga mlimani
 
Khaaaaa cheki anapoovertake, na wale "Nesi" wanashangaa tu!!

Eti tunamkakati wa kupunguza "Ajali", ndiyo hivi!!!!!!!!!!!!!
 
Maskini boda boda kajiwashia zake full taaa eti anamtisha mwenye basi
 
Lakini naona kama alama za barabara zinaruhusu overtaking (angalia mstari kwa makini naona ni doted/broken) au mi ndo sjui sheria?
Uko sawa kabisa mistari imeachana, halafu picha inadanganya ukiangalia kwa makini kuna umbali sana hadi kufika hapo kilimani.

Na basi anamalizia kumchanja hiace kisha anabana kushoto.

Na ukiangalia kwa makini basi amechanja Toyota silver, na hiyo nyeusi kwa mpigo anamalizia na hiace(gari tatu kwa mpigo kazichanja) kisha analala kushoto
 
Ila dereva wa pikipiki amenyimwa haki yake. Au kwa sababu yeye pikipiki haina bodi.
 
Lakini naona kama alama za barabara zinaruhusu overtaking (angalia mstari kwa makini naona ni doted/broken) au mi ndo sjui sheria?

Asante kwa kunisaidia maana cha kwanza kuona ni hiyo mistari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom