englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Afadhali simu yangu haijafungua picha...
hahahahahaAfadhali simu yangu haijafungua picha...
Afadhali simu yangu haijafungua picha...
mimi pia nadhan itakuwa mambo ya betri low
Fanya hima unipetie dawa za kutuliza maumivu mbavu zinauma kwa kucheka hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaamimi pia nadhan itakuwa mambo ya betri low
Hivi kumbe hiyo ndio sababu eeeeh,lol!Mpaka kugoma kufunguka lazima hiyo picha itakua ya mtu mzinifu au mwizi aliyebobea
Mpaka kugoma kufunguka lazima hiyo picha itakua ya mtu mzinifu au mwizi aliyebobea
Skype utavunja mbavu
Hivi kumbe hiyo ndio sababu eeeeh,lol!
Hivi ni macho yangu au naona kama sukuru na mtanga wa comedy wanafanana au ni ndugu