englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Mkuu hapo naona kama anauziwa mpuzi kwenye gunia kwa sababu ya elimu na hayo makaratasi mandeko yake ni kwa kizungu sasa hapo ndio tatizo na huyo bwana alie vaa kibaragashia ni tafauti sana na hayo maanko si una muwona anavo shangaa na hayo maandiko ya kizungu lakini yangekuwa ya quraani basi angeyakataa hapo hapo kwa sababu ndio aliasomea lakini wamenena hivi mtu asiye jua maana hambiwi maana samahani mkuu