Nchi za wenzetu hata wanaposema ni masikini
lakini kuna sehemu wameweza vizuri sana,juzi
walikuwa na hali mbaya ya uchumi ona kumbe
Miaka ya nyuma tayari walikuwa na vitu vizuri
sana ila sisi Mdomo tu kama :-
1.Kilimo Kwanza
2. Big Results Now
3.Mradi wa Gesi
Lakini yote hiyo ni porojo hakuna lolote
Tumeshindwa kutokomeza Mabusha,Matendo!