Wananchi wa Kanda ya Kaskanini mwa Tanzania wanashangazwa na matukio yanayoendelea katika eneo hilo, hususan kuhusu ziara ya Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla. Wanauliza kwa nini alitembelea hospitali kumjulia hali Mwenezi wa BAWACHA aliyedaiwa kushambuliwa na mlinzi wa...