Ibrahim daud
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 609
- 525
Hiyo ni mimba au??ni kitambo??Unene unavyopoteza muonekano wa mtu.
Acha nile zangu nipate tumbo kubwa
Raia wa wapi huyu serikali yake iingilie katiπππ€£
Wanapenda hao balaa!
Hii nchi uhuru umepitiliza.
Hivyo unataka kusema bila chips yai huyo angekuwa mwembamba? πTatizo siyo miili bali ni kufukia tumboni chips yaiπππ