Unajua isingeonekana hiyo bajaj na ile daladala na kama siyo mwenyeji Dar, unaweza kudanganywa hapo ni OklahomaPicha ni nzuri sana imependeza na location waliyochagua ya Makumbusho Victoria njia panda ya kairuki hospital imetokelezea.!
... hicho kibajaji Marekani sehemu gn?Itakuwa wa nigeria nchini marekani, wanapenda kujiwehusha sana
... hicho kibajaji Marekani sehemu gn?Itakuwa wa nigeria nchini marekani, wanapenda kujiwehusha sana
ndio kina nani sasaYoung lunya na maua sama
Hapo bongo angalia daladala,namba za bajaji, na lile gorofa maarufu pale victoriaWakiwa nchi gani?
Zinanzotumia bajaj. Africa na Asia.Sijajua Mkuu.
Hapo ni Victoria/ Makumbusho mkuuWakiwa nchi gani?
Kwa faida ambao hawajafika Dsm, namalizia ni kitongoji cha Jijini Dar es Salaam, Tanzania.Picha ni nzuri sana imependeza na location waliyochagua ya Makumbusho Victoria njia panda ya kairuki hospital imetokelezea.!
Ni bongo mbele kule gari ya Mwenge ileee na kuna chaser ina no za bongo India au SA hamna pengine watafanya ushumbwanda wao huo.Sijajua Mkuu.
Acha kujidai uko mbeleMkuu nilisoma sehemu huyo mwanamke ni Mwanamuziki wa Kitanzania anaitwa Maua Sama na hapo walikuwa wanatengeneza video ya wimbo.
utakuwa sawa, hiyo ni maeneo ya makumbushoUmefanya na mie niangalie vizuri Mkuu.
Na hata hayo majengo ni pale ukitokea Moroko kuelekea Mwenge maeneo ya Victoria kama sijapuyanga.
Heee!! Wacha pupa hebu karudie kusoma uelewe.Acha kujidai uko mbele