Picha ya siku

Mkuu unajaribu kutueleza nini..?
Au asha aliekuwa sukari yako amekuacha..!
Au hujalizika na bei ya sukari ya asha..?
Au unatusumbua tu ndo Mara yako ya kwanza kupost picha humu😂
Eleweka mzee usije kuwa unaelekea kuwa kambare😅
 
Au ni sample kama akina jabir hamza inaenda kupimwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…