Luqman mohamedy
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 892
- 1,226
Huyo gabachori aliwahi kugombea ubunge akiwa Chadema........nadhani bado amekariri!
Hawa wanajua kufanya biashara kwenye siasa bila ya kuwa kiongozi wa kisiasa tofauti na wabantu.
kanifurahisha ukauzu aliouonyesha, nadhani hajui alitendalo